richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Heheeee wambea haoooBaada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa
cc. Dj Sepetu
google Pixel
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheeee wambea haoooBaada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa
cc. Dj Sepetu
google Pixel
Nipo nipo tuendeleeeeTunakuja
DJ sepetu
Bibieee una gubuuu looooohSaa mbili si ndio hii au sa mbili ya kwa trump
Asante dj nimechelewa kidogorichaabra karbu tena
DJ sepetu
Yote hii kukumiss ujueBibieee una gubuuu loooooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefika mbali, ila najitahidi nisicomment. Kuna vichamboooo
Kwahiyo umeishia katiMwenzanguu nimechoka bhanaa
Tabia za wanawake zinazonikera ni umbea na majungu japo mimi mwenyewe mmbea kidogo[emoji18]Poa unaweza kutuambia tabia inayokukera sana ya wanawake Na kwa wanaume
DJ sepetu
Nachukizwa na wanaume bahili yaani mwanaume asiyechunika ukimuomba hela tu anakuja kukufungulia uzi humu anakuchamba[emoji108]Poa unaweza kutuambia tabia inayokukera sana ya wanawake Na kwa wanaume
DJ sepetu
Sioni interview mieee nnaona michambo tuuKwahiyo umeishia kati
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sioni interview mieee nnaona michambo tuu
Mna gubu kama ndugu wa mumeee[emoji108] [emoji108] [emoji108]Sioni interview mieee nnaona michambo tuu
[emoji23] [emoji23] nini unaangalia zaidi yani kigezo chako cha kumkubali mwanaume Na cha kumtosaNachukizwa na wanaume bahili yaani mwanaume asiyechunika ukimuomba hela tu anakuja kukufungulia uzi humu anakuchamba[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisha do sex cos of big amount!?Hapa mwanaume pesa ni kitu cha kwanza .... pesa ndio kila kitu cha pili awe smart na anayejielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua nikijibu hapa wanawake wa jf watapinga ila kuchuna nishawachuna sana na juzi kuna kidudu mtu kanifungulia uzi kimya kimya hapaUlisha do sex cos of big amount!?
Kiasi kukubwa ulichowahi hongwa paap ni kiasi gan!?
DJ sepetu
Sema mwaya... Hamna wa kukuchambaNajua nikijibu hapa wanawake wa jf watapinga ila kuchuna nishawachuna sana na juzi kuna kidudu mtu kanifungulia uzi kimya kimya hapa