DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #961
Tuhuma hizo mnazochochea hapa mna ushahidiKawataarifu inbox kabisa hapa watachelewa kuona.
Mi binafsi nina shida nao.
Kwani anayetukana hapa ni nani? Kama siyo huyo mteja wako? ?
Kuhusu majibu ya kile ninachomuuliza ni haki kujibu atakavyo!
Akisema ana chura mnaumia nn?
DJ sepetu