Mrembo Salma: Kagere akifunga dhidi ya Yanga anioe bure

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanadada mrembo aitwae Salma mkazi wa Temeke wakati akihojiwa na Dauda Tv akaulizwa mchezaji gani anampenda wa Simba akasema Kagere na akaongezea Kama alifunga goal dhidi ya Yanga anioe bure bila mahari hata kama nitakuwa mke wa pili cos najua ana mke tayari.

2020-01-02 (1).png
 
Itakuwa ni tangazo kama usemavyo Dada.

Kwani nimesoma Post no #07 nikasema Lol.

malaya wa Kimboka Bar Buguruni huyo namjua
Wadada ni balaa.
Nakumbuka kipindi wachezaji wa Senegal walivyokuja TZ kuna malaya alipania eti lazima aliwe na mchezaji, sikumbuki jina maana sio mshabiki wa mchezo, sijui Pogba sijui nani vileeee!
Sasa nikajiuliza hivi atapenya vipi hadi ampate huyo mchezaji ili hali wanakuwa chini ya ulinzi kama wako kambini vile
 
Daah!! Hatari.
 
Mwanadada mrembo aitwae Salma mkazi wa Temeke wakati akihojiwa na Dauda Tv akaulizwa mchezaji gani anampenda wa Simba akasema Kagere na akaongezea Kama alifunga goal dhidi ya Yanga anioe bure bila mahari hata kama nitakuwa mke wa pili cos najua ana mke tayari.

View attachment 1310106
Biashara ni matangazo.
Ameamua kuvunja ukimya.
 
Back
Top Bottom