Mrembo Tahiya, Avishwa pete na Danga la hamisa mobetto ...

Alafu binamu fanya utuletee ubuyu wa posh Jamani..nasikia kajifungua sijui ni kweli au tetesi tu..[emoji849]

Mmh mbona kitambo binam , mtoto atakua had kashaanza kujifunza umbea now[emoji16]
 
Yani siku hizi mademu wanatumia miili yao tu kupata ugali....

Wanaume tutafute pesa
 
Kampa nyumba na kamfungulia bonge la saloon la kisasa, inshort Jamaa ana malengo na tahiya acha wivu
Haya tupo na JF ipo na siku ikifika ww ndiye utakekuwa wa kwanza kutuletea habari.

Hamna ndoa hiyo nyumba nayo geresha tu,huyo anapigwa chini mda si mrefu.
 
Huyu babaake alikimbilia south afrika mwizi mkubwa alex massawe sijui zile hoteli zao ndo junior ananyandulia hawa ma slay kwini wa bongo?
Alikuwa jambazi sugu hadi alipata ulemavu wa jicho moja, hatoi miwani hata siku moja.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…