Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tupo na JF ipo na siku ikifika ww ndiye utakekuwa wa kwanza kutuletea habari.Kampa nyumba na kamfungulia bonge la saloon la kisasa, inshort Jamaa ana malengo na tahiya acha wivu
Hiyo nyumba mmeiona!??? Nadhani huijui hii family ya Alex Masawe vizuri.... sio rahisi hivo
Alikuwa jambazi sugu hadi alipata ulemavu wa jicho moja, hatoi miwani hata siku moja.....Huyu babaake alikimbilia south afrika mwizi mkubwa alex massawe sijui zile hoteli zao ndo junior ananyandulia hawa ma slay kwini wa bongo?