warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.
Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake[emoji16]
Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew