Amina nitaanza kutembeleaUwe unatembeleapo na chit chat hata MMU pia
Kwakweli sijui maana mimi sijawahi tafuta love humu, pia nisingeweza kutafuta humu mtu ambaye sijaonana naye mwanzo hapana sina ujasiri huoKaribu sana!
Unaamini jf kuna true love au longolongo tu!
Kama ungekuwa hujaolewa id ipi ungeizimia
Asante nimekaribiaKaribu sana!
Unaamini jf kuna true love au longolongo tu!
Kama ungekuwa hujaolewa id ipi ungeizimia
Amina nashukuru sana, salamu zao uwe na usiku mwemaNashukuru Ulweso kwa interview nzuri! Huu ndio mwisho ila unaruhusiwa kujibu maswali ya members pindi yakijitokeza!
Nakutakia usiku mwema!
Huwa natembeleamo humo chit chat [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiswa cha kijitaUwe unatembeleapo na chit chat hata MMU pia
GoodNo, sipendi na wala sitaki kusikia yaani maisha yangu yote nimeyakabidhi kwa muumba basi
Amina, huko nikwenda kuibiana tu hakuna chochoteGood
Lakini salamu haikatazwi [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kashanifunga speed gavana tangu kwenye intro yake
Hapo sawaAmina, huko nikwenda kuibiana tu hakuna chochote
Usijali, ninao marafiki wengi sana humu ambao ni wake za watu na tunafurahia jukwaa kama kawaidaLakini salamu haikatazwi [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Bado kuna nafasi maana muhusika yupo hewani sasa hiviDaaa hii sikuiona aisee
Hilo kweli furaha ni moja wapo ya afya kwetu soteHapo sawaUsijali, ninao marafiki wengi sana humu ambao ni wake za watu na tunafurahia jukwaa kama kawaida
Anaulizwa nani?Mzee hapo kwa vijana na wakongwe umeniweka kundi gani?
Kweli kabisaHilo kweli furaha ni moja wapo ya afya kwetu sote
Haya sawaHoster