Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sakayo kusamee kupo lakini isiwe too much haijulikani lini anakuwa mme wala baba bora hiyo hapana SakayoKama ni kibinadamu ni kusamehe maisha yaendelee!!
Unategemea kumwona vipi mumeo baada ya miaka kadhaa ijayo?! Kipi unafanya kuhakikisha ndoa yako inakuwa imara?! Ushawahi mnunulia mumeo zawadi?!
Hahahaa [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Amina mamito nawe piakila raheri kwa kila ufanyaloHongera
Mungu akujaalie kila lenye baraka
Taratibu Ni mke wa mtu huyo rafiki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyu Interviewee sijawahi kukutana naye popote hapa jamvini ila nimeshangaa DJ sijui kamuopoa wapi.
Pongezi kwa DJ kutuletea mgeni haswaa machoni mwetu
Marafiki kwakweli mie sio wavibarazani kusema sema ya watu la mtu tuongee yatuhusuyo basi nikiona blabla nyingi huwa naepuka kistaraabu tu , makundi ya ajabu sina kwakweliIn marafiki jf Wa ukweli!
Unatumia chujio gani kuchagua marafiki
Kwa kuwa ni mumeo, ushasema kuna kushindwa kuepuka vishawishi. Utamsamehe sema inauma na huwezi rudisha utamu alogawa!!Sakayo kusamee kupo lakini isiwe too much haijulikani lini anakuwa mme wala baba bora hiyo hapana Sakayo
Ndiyo hivyo kwa akili zetu hatuwezi kabisa Mungu ndiye kila kitu mamaUsisahau kuwaombea kila leo maana kwa akili zetu hatuwezi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo hivyo unakutana ndiyo huyu anashangaaNashukuru kwa kuitikia wito maana ndio njia ambayo imenifanya nikujue na wewe unijue kwa huu ufake wetu
Asante wanguHongera mamy
Ndiyo hivyo sio akosee halafu awe mbabe mmmm hapo ndipo shida inapoanzia na visasi mwishowe wanaumia watotoKwa kuwa ni mumeo, ushasema kuna kushindwa kuepuka vishawishi. Utamsamehe sema inauma na huwezi rudisha utamu alogawa!!
Baba anaejitambua lazima anatambua majukumu yake kama baba na kama mume, na mwanaume wa hivyo hata akikosea unajua kweli ni bahati mbaya.
No, sipendi na wala sitaki kusikia yaani maisha yangu yote nimeyakabidhi kwa muumba basiUliwahi kwenda kwa mganga ajili ya biashara au kingine
Kila mtu ana malengo yake, lakini kwa mimi nilitulia tu nakufanya mambo yangu na kumtegemea Mungu basi ilipofika ndiyo nikakutana na huyu mbaba, kinachotuponza sana ni ile mtu akitongozwa tu unajipeleka mzima mzima sio kila king'aacho ni dhahabu kujirahisisha sio unajikuta mtaa mzima umeumaliza mtu akijitambua na kujiheshimu mambo yanasonga, wengi watongoza kwa gia ya kuoa kumbe hakuna kituUnawaambia nn wanawake ambao wanatafuta waume bila mafanikio na umri unawatupa mkono!
Wafanye nn
Poa!Kila mtu ana malengo yake, lakini kwa mimi nilitulia tu nakufanya mambo yangu na kumtegemea Mungu basi ilipofika ndiyo nikakutana na huyu mbaba, kinachotuponza sana ni ile mtu akitongozwa tu unajipeleka mzima mzima sio kila king'aacho ni dhahabu kujirahisisha sio unajikuta mtaa mzima umeumaliza mtu akijitambua na kujiheshimu mambo yanasonga, wengi watongoza kwa gia ya kuoa kumbe hakuna kitu