Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Aisee kweliHahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] mrembo fulani hivi mweupe kiasi wa asili ni kimwili mwili hivi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kweliHahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] mrembo fulani hivi mweupe kiasi wa asili ni kimwili mwili hivi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nimekuja, nilikuwa somewhere kwenye ubishi wenye tija
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni chombo kimoja hivi cha kiasili na niliamua kutumia jina lakabila langu mtu wa kabila langu akisoma hivi anatabasamuNaomba kuuliza swali ulweso hili jina lina maana gani?? Uliwaza nini mpaka ukaamua kulitumia humu?? Make nami nilipata kizungumkuti just by name I thought wewe una mashine tehteh
Cc Smart911
Kwa nini unaamini anaweza kucheat?!Kucheat [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hapana siwezi hata yeye anajua kabisa kama anaoa basi mimi aniache kwanza aoe 2 mie siwezi maana hata mie niligoma kuolewa mitala huwezi tumikia mabwana 2 na ukawapenda woteUdhaifu mkubwa Wa mwanaume ni tendo la ngono!
Unadhani unaweza kuolewa mitala
Kwanini
Taratibu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Aisee kweli
Kama mimieeeeehh!!??[emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera kwakua natural mamaa wanawake wengi sikuhizi hiki kigezo tunafeliiiiHahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] mrembo fulani hivi mweupe kiasi wa asili ni kimwili mwili hivi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Umenifanya niangalie Avatar nikakutana na pipi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo Avatar huwa ni fakeMie ke jamani hata kifuani hunioni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mumeo aliwahi kukuambia nn kilimvutia kwako na si wanawake wengine!Hapana siwezi hata yeye anajua kabisa kama anaoa basi mimi aniache kwanza aoe 2 mie siwezi maana hata mie niligoma kuolewa mitala huwezi tumikia mabwana 2 na ukawapenda wote
Sio kuamini, lakini dunia ina mambo mengi na sio wote wanapenda mlivyo na wao pia wanaweza kuwa wanampenda, anaweza safiri au akawa na watu wengine akashindwa kuji control, linaweza tokea kibinadamuKwa nini unaamini anaweza kucheat?!
Mi mwenyewe nliumbuka hivohivo nliangalia kwa mbaaaali avatar nkaona kama nyanya maembe na machungwa vile kumbe ni pipi tehtehteh[i[Umenifanya niangalie Avatar nikakutana na pipi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo Avatar huwa ni fake
Hapa nilipo na biashara yangu nataka niongeze pia Mungu akijalia nipate sehemu niwe mfugaji na ukulima piaNini malengo yako baada ya miaka mitano?!