Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

[emoji28] [emoji28] [emoji28] ufupi sio shida sasa mie niwe mfupi na mwenza mfupi sasa tutoa nini kama si vigoda? Lakini angepatika na akawa muwazi na kweli mambo yangekuwa safi, ujasiliamali nilipokuwa nimemaliza sec.nilijifunza ushonaji na kabla ya kwenda chuo nilipata kazi kidogo, hapohapo nikiwa chuo nikakutana na mchumba tulipo oana baada ya chuo tulipanga iwe hivyo nijiajili ili nitulie familia yangu au nipate muda wa kucare family
Hauoni kuwa huitendei haki taaluma yako!.

Ujasiliamali umekupa nn ambacho Kazi ingekuwa ngumu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ufupi sio shida sasa mie niwe mfupi na mwenza mfupi sasa tutoa nini kama si vigoda? Lakini angepatika na akawa muwazi na kweli mambo yangekuwa safi, ujasiliamali nilipokuwa nimemaliza sec.nilijifunza ushonaji na kabla ya kwenda chuo nilipata kazi kidogo, hapohapo nikiwa chuo nikakutana na mchumba tulipo oana baada ya chuo tulipanga iwe hivyo nijiajili ili nitulie familia yangu au nipate muda wa kucare family
Lol mwanamke na familia yake huyo that's great.... Like like like

Smart911 chief wangu fanya hima namimi nataka
 
Hata mimi was not juaring uuuu Ile serious ila DJ Sepetu kwa data zawatu humu tu... aaaaaaaaaaaaaaaaaaa Soon Nitakusoma [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Seems huna mambo mengi wala show off sana kama akina Smart911 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Cc Smart911
[emoji849]

Unajua hasira zangu nitazimalizia wapi...

Mpaka ushindwe kutembea asubuhi...
 
Mme amewahi kukufurahisha zaidi kwa jambo gani
Lini umewahi muuzi zaidi
Kwakweli ni mengi sana, kwanza anajali sana na kunisikiliza, hahaha lakumuuzi duu kuna siku nilitoka japo nimeaga sasa bwana jamu la dar si nikachelewa na funguo ninazo mwanaume alichaluka bahati nzuri shemela naye alikuja hapo kwetu ikabidi nimwambie atulie mpaka nifike ili aokoe msala maana hali ya hewa ilichafuka
 
[emoji849]

Unajua hasira zangu nitazimalizia wapi...

Mpaka ushindwe kutembea asubuhi...
Hahahahaha... Wewe si umeniamsha mwenyewe mi nilikua nimelala zangu nami nakuchokoza makusudi. teh Kesho jumapili ntashinda najikandaaaaaaa ikikomaa feni ipoooo [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji12] [emoji12]
 
Kwakweli ni mengi sana, kwanza anajali sana na kunisikiliza, hahaha lakumuuzi duu kuna siku nilitoka japo nimeaga sasa bwana jamu la dar si nikachelewa na funguo ninazo mwanaume alichaluka bahati nzuri shemela naye alikuja hapo kwetu ikabidi nimwambie atulie mpaka nifike ili aokoe msala maana hali ya hewa ilichafuka
Umesema una watoto!
Je unawaleaje ili wakue vyema
 
Back
Top Bottom