Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hapo unatulia tu mtaka chauvunguni sharti uiname ni matusi ya muda hata wao hupitia huwa wanajishaua tuAsante sana mamiii siunajua Sisi wanawake maungo yetu afanye fanye wakati nyonga bado teke mambo ya kwenda leba kuchambwa na manesi wee bibi sikuzote ulikua wapi mpaka kiuno kimekaza hivi sio mazuri mamy
Cc Smart911