Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Aaah nimekupa nafasi umfafanulie unapo jua katika hilo jinaoooh mjibu tu jiran nami ningependa kujua[emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah nimekupa nafasi umfafanulie unapo jua katika hilo jinaoooh mjibu tu jiran nami ningependa kujua[emoji85]
siambui hta moj jiranAaah nimekupa nafasi umfafanulie unapo jua katika hilo jina
Sawa nitafafanua kesho jiransiambui hta moj jiran
hamn shid jiran intavyiuu ikianza niite jiranSawa nitafafanua kesho jiran
Sawa jirani kama nitakuwa hewani maana tanesco wamesha Fanya yao toka asubuhihamn shid jiran intavyiuu ikianza niite jiran
Hiyo poa sana, mwenye macho haambiwi njoo uleHata usiponitag nakuja kimya kimya
pole jiranSawa jirani kama nitakuwa hewani maana tanesco wamesha Fanya yao toka asubuhi
Pole mkuu, hao TANESCO ni kawaida yao tuSawa jirani kama nitakuwa hewani maana tanesco wamesha Fanya yao toka asubuhi
Asante jirani tumezoea maana umeme huu wa Lea ni kawaida sanapole jiran
Huku tumezoea maana toka asubhuhi wamekata mpaka sasa hawajaletaPole mkuu, hao TANESCO ni kawaida yao tu
polen sanAsante jirani tumezoea maana umeme huu wa Lea ni kawaida sana
Yaani huku tunazimis na solar zetu tulizo tupapolen san
Hahaha moja tu linamtosha [emoji39] [emoji39] [emoji39]Naswali moja tu kwa Ulweso
Hahaha Ulweso yupo anapitia commentsJamani interview tunaisogeza mbele kidogo@ulweso
Nishafika mkuu mweshimiwa sana muhali gani mabibi na mabwana [emoji4] [emoji4] [emoji4] DJ Sepetu [emoji120] [emoji120] [emoji120]Habarini vijana kwa wakongwe! dimaa @emmyta
Mabibi kwa mabwana! Inna mshipa
Waliooa na bado wapowapo! @Darby saint uvuga
Waliolewa na wenye madanga yao! Numbisa Mama Sabrina
Tumsifu Yesu kristo!
Aslaamu alekhum!
Mwalamtse!
Poleni ktk Kazi na karibu tena kwenye mkabala Wa mwishoni mwa juma!
Leo kuanzia mida ya saa kumi na moja jioni tunayo furaha kumkaribisha kikaangoni dada yetu mzuri na msheshi Ulweso akijibu maswali ya DJ na sisi wote!
Karibuni sana!!!
Shouting to
Sakayo @emmyta @asprini ukhuty bushmen Mwifwa Shunie Linamo @khatwe mahondaw @demisss MBITIYAZA Davet Smart911
Na wote
Nikae sasa nifatilie kwa ukaribuNishafika mkuu mweshimiwa sana muhali gani mabibi na mabwana [emoji4] [emoji4] [emoji4] DJ Sepetu [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatareeNikae sasa nifatilie kwa ukaribu
Hahaha swali mbona gumu, mie ni mke mwenye mme 1 na mama wa watoto 2, boy na girl, ni mjasiliamaliKaribu sana hebu tuambie wewe ni nani hasa una miaka mingapi na Kazi