Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
socialites my a.ss.....hawana tofauti na machangu wa kimboka...
Bora kuliko kukopwaa alaf awe mama huruma
tofauti yao ni kuwa hawa wanadai pesa nyingi lakin wote wanajiuza
mhh naona unaunga mkono!!!
Bora kuliko kukopwaa alaf awe mama huruma
asalaam aleiqum!
Kuna watu wana hela halafu hawana cha kuzifanyia, $15,000 kwa sababu ya ngono? Bado umlipie go-return ticket business class, umlishe, umnyweshe kisa ngono ya siku nne. Hii dunia ina maajabu yake kwa kweli, mwingine anafuta shilingi mia tano ya kula, mwingine analipwa milioni 27,572,820.00 kwa ngono ya siku nne.