Sawa,huyo wa Tanzania amekuwa wangapi..??
Mtemvu anahusika VP na miss universe?! nimecheka lakini!Kwani sitti mtemvu kaenda? Si kaletewa figisu bila sababu
Mtemvu anahusika VP na miss universe?! nimecheka lakini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii Miss Universe sikuelewi, mbona washiriki kutoka sayari nyingine hawaji?
khaaaa umevurugwa vibaya heeeeeHii Miss Universe sikuelewi, mbona washiriki kutoka sayari nyingine hawaji?
hapa pana ubaguzi sana. nadhani pia ni kuwa weusi wanaoshindana hawaendi na asili yao hutaka kujikoboa ndio maana hawashindi. lupita nyong'o angeweza kushinda kama angeshirikiCha kustaajabisha hata waafrika wanaoshinda taji hili ni ngozi nyeupe
Hahaha miss mwenye miaka 32Kwani sitti mtemvu kaenda? Si kaletewa figisu bila sababu