Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2017

Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2017

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
usa-missuniverse-750x375.jpg
Miss Afrika Kusini, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017 katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Planet Hollywood mjini Las Vegas, Marekani.

Demi ametwaa taji hilo akiwashinda wenzake 92 kutoka mataifa mengine ambapo kwa Tanzania iliwakilishwa na Miss Universe Tanzania, Lilian Ericaah.


Mo Dewji
 
Sawa,huyo wa Tanzania amekuwa wangapi..??
 
Haya Mashindano kwa Bongo bora wayafute tu., ukizingatia toka mwaka 2006 yamekuwa yakituletea Products za hovyo Mtaani!
 
Cha kustaajabisha hata waafrika wanaoshinda taji hili ni ngozi nyeupe
 
Cha kustaajabisha hata waafrika wanaoshinda taji hili ni ngozi nyeupe
hapa pana ubaguzi sana. nadhani pia ni kuwa weusi wanaoshindana hawaendi na asili yao hutaka kujikoboa ndio maana hawashindi. lupita nyong'o angeweza kushinda kama angeshiriki
 
Back
Top Bottom