Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

My opinion, u don't like it, kick rocks!
Ila before u kick rocks, excuse you kuniita mwongo, marekani ukiwa na id iliyoisha muda unaajiriwa na nani kwa kazi yenye benefits? Coz dont talk about some stupid under the table jobs msizopata benefits zozote au kufuta mavi ya wazee majumbani kwako aka u Housegirl, a real job na id iliyoisha muda mnapewa na Trump?
Now ukinijibu sahihi na evidence wapi wanatoa kazi na Visa iliyiisha muda na Id zilizo expire, nitajiita mwongo hata mimi mwenyewe,
Kaweka maisha yake public, tusilazimishane kuona sawa.
Now Turn to the left kaendelee na kumkiss a$$ Stella.[emoji1308][emoji1308]
Usinitukane sana.. Nataka tu kuongeza baadhi ya misamiati kwenye ubongo wangu

...Twende kazi mbona avatar yako nayo unaonekana fekero?
 
Dada or kaka! Simfatilii fake thot! Huyu dada alikuwa na blog and yes, nilipenda blog yake UNTIL, nilipoona uongo live nikaiweka blog kushoto,
Tatizo watanzania kama wewe ndo wale wale wapu mba vu mlio radhi kushusha hadhi zenu kwa material things, huna tofauti na huyo stella i rather save my energy!

Humfatilii ila ulipenda blog yake. Yes. You better save your energy Clueless.
 
Wajinga sana wanawake wengine! Halafu siku si nyingi unasikia mjinga ka huyo nandera kawa mbunge, no wonder nchi imeoza

Nchi imeoza kwa sababu sijawa mbunge. Mada inahusu urembo wengine wanajadili mtindo wa maisha ya mrembo.
 
Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.

Wewe ni mwanamke na ipo wazi wanawake hawapendani na ni watu wa kuoneana wivu na chuki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kupata karatasi sio ujanja,it could also be a matter of luck,truth be told sacrifice zinazofanya na akina dada kupata karatasi huwezi kuamini, yaani ukitaka kuoa dada mwenye makaratasi,inabidi ujiulize maswali mengi sana sio unakimbilia kuoa,alaafu baadaye unaipata past yake unamkimbia




ni kweli uwa naongea nae mshikaji mara kwa mara ananiambia watu wanaishi kwa tabu sana hasa wa bongo wa texas wanataka kuiga maisha ya wazungu....hila nimekubali sana trick yake aliyotumia mwamba kupata makaratasi
 
Yan nmependa huo mswambwandaa
c5a9c07d324471c2ef3870777c670c3f.jpg
 
mbongo hata aishi nje habadiliki kamwe...unafki roho mbaya havitamwacha..mtu anakosoa maisha ya wenzio na huku yake hataki yaguswe..anasema mwenzie malaya fake etc yeye akiambiwa muosha vyombo anapanic...we kama hutaki usemwe vibaya usiseme wenzio vibaya especially mtu hata humjui personally.
 
Back
Top Bottom