Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Usinitukane sana.. Nataka tu kuongeza baadhi ya misamiati kwenye ubongo wangu

...Twende kazi mbona avatar yako nayo unaonekana fekero?
 

Humfatilii ila ulipenda blog yake. Yes. You better save your energy Clueless.
 
Wajinga sana wanawake wengine! Halafu siku si nyingi unasikia mjinga ka huyo nandera kawa mbunge, no wonder nchi imeoza

Nchi imeoza kwa sababu sijawa mbunge. Mada inahusu urembo wengine wanajadili mtindo wa maisha ya mrembo.
 

Wewe ni mwanamke na ipo wazi wanawake hawapendani na ni watu wa kuoneana wivu na chuki [emoji23][emoji23][emoji23]
 




ni kweli uwa naongea nae mshikaji mara kwa mara ananiambia watu wanaishi kwa tabu sana hasa wa bongo wa texas wanataka kuiga maisha ya wazungu....hila nimekubali sana trick yake aliyotumia mwamba kupata makaratasi
 
mbongo hata aishi nje habadiliki kamwe...unafki roho mbaya havitamwacha..mtu anakosoa maisha ya wenzio na huku yake hataki yaguswe..anasema mwenzie malaya fake etc yeye akiambiwa muosha vyombo anapanic...we kama hutaki usemwe vibaya usiseme wenzio vibaya especially mtu hata humjui personally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…