Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Humfatilii ila ulipenda blog yake. Yes. You better save your energy Clueless.
maajabu ya dunia hii...mtu anahasira na mtu ukimuuliza aliwahi kumfanyia nini jibu hana.kujipa magonjwa na stress
 

Aiseeee! Clueless 14..wewe unafaa sana tena sana...kwa ajili ya kuwapa watu vidonge vyao...kuna watu wengi sana ninao wadai sasa kila nikiwatokea kuwadai longolongo zimekuwa nyingi sana sasa nadhani nimepata mtu sahihi wa kuambatana nae kwenda kuwadai hawa watu manake sasa imekuwa ni kero na ukiwacheki ni watu wenye heshima zao.
Yaani ulivyomchambua huyo binti natumaini kila ofisi tutakayoingia ukishaanza tu kumwaga upupu nabashiri tutapewa cheki kabla nyomi haijazidi.
Bigup clueless 14.
 

Wabongo mzunguko na longolongo nyingi kawaida yao. Mbaya zaidi miaka inavyosogea ni longolongo plus ujinga, mixture moja mbaya sana. Usikopeshe tena mtu na ukitoa hela hakikisha umekubali kujitolea tu, watarudi tena wee wasubirie
 

maajabu ya dunia hii...mtu anahasira na mtu ukimuuliza aliwahi kumfanyia nini jibu hana.kujipa magonjwa na stress

as if anakula kwake...ao hela ya kurent ilo gari alimkopa.

Dumb dumb dumb.... hata kuandika hujui.
Bibie sio kumkopa tu, naeza kumpa bure hela ya kurent gari mwaka mzima au miwili[emoji4][emoji4] ili azidi kuwadanganya kwa akili zake zilizohamia makalioni

Wewe nakuruhusu kama unajua maisha yangu bring it on tuwe fair and square, na una hakika gani simjui???

Bye idiot.
 
Wewe ni mwanamke na ipo wazi wanawake hawapendani na ni watu wa kuoneana wivu na chuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo unadhani namwonea wivu huyo feki stella???
Lmao!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wabongo lini mtakuwa straightforward? Why mnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa???
Eti wivu hahaaaaa! Mtu akinambia namwonea wivu stella ananivunja mbavu! Niache kuonea wivu watu wenye akili timamu nikaonee wivu huyu mkata viuno gym????? Hahaaa
Y'all play too much!!!!
 
Humfatilii ila ulipenda blog yake. Yes. You better save your energy Clueless.

Cha muhimu umesoma, kuelewa kwako hainihusu.[emoji1308][emoji1308][emoji1308][emoji1308][emoji1308][emoji1308][emoji1308][emoji849][emoji849][emoji849]
 
kwendraa. Wenye hela hawana muda wa kufwatilia maisha ya watu na kujibu kila comment ambayo hata they arent tagged...moron! you pretend not to be bothered yet unajikakamuuua kumchafua..bitch you are bothered period! get a life nyokonyoko i can give her rent money matako...iyo hela nenda vacation upunguze stress za kufwatilia yasiyokuhusu nyangau.
 

Hahaaa, thats all you can come up with? Try harder !
Bih its 4th of july and I got nothing but time!!
BRING IT On ONE MORE TIME I dare you!
Stella is fake! Got a problem with my opinion?? Middle finger up ..[emoji1383]

By the way hata wewe naeza kukupa rent ya miaka mitano! [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Una undungu naMange kimambi mmefanana miandiko mkuu
 
Sasa mbona hujawataja hao wasanii waliodatishwa?

Au ndio kiki???
 
Kweli comments yako imemaliza mengi ambayo ningeandika. Hizi thread zingine zaweza kukufanya ufikirie mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…