Yes najiona bora, una tatizo?
My opinion na siibadilishi. She is fake kama Rachel Temu and thats that! Mwenyewe anataka kuwa public so sit your behind down i said what i said and that's it
You got that right to each his own.Why niwe bothered na fake life yake??? Sir una opinion yako na nna opinion yangu juu ya show offs zake! Why dont u mind yours and i mind mines?
Meanwhile mjulishe shes too old for that. Kama kakaa miaka zaidi ya kumi hana akili ya karatasi hatokaa aipate kwa kubenua makalio kila siku.
Nimeona asilimia kubwa kwenye hii video tunaonyeshwa matako, sasa huo urembo wake ni wa matako tu?kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.
SitakiBasi mrembo kunywa red bull hapo jirani Kwa bill yangu. Sawa?
Kimsingi hakuna kazi yenye uhakika. Kazi zote za kuajiriwa hazina uhakika.Isiyo na hakika (under the table and low paying jobs)
Ya hakika (professional with benefits)
Marekani bila karatasi labda kama yeye ni exceptional na ID isiyo expire, otherwise, wale wale na yale yale
Labda kwako weweNasikia ndoto za kupata Noah zimeyeyuka.
Nipe namba yake
jamanHahahaaa....happy 4th jirani.
Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.
Eti naosha vyombo...hata kama...so what?
Majinuni kabisa hao.
jaman jaman achanen nao hao wengi wao wanakula kwao hawana mbele wala nyuma wanachokijua ni kuponda maisha ya watu tatizo wana hasira ya maisha hawajui kesho watakula nin magu kabana yaan kiufupHana jeuri ya kuishi New York..
anaishi Minnesota.
Ukitazama vyema pua yake imepinda upande mmoja
Hana makaratasi huyo...hawezi kutoka America
Huu sasa ndo wivu wa kike. Hapa unazungumziwa ulimbwende wake wewe unazungumzia kazi anayofanya. Hata kama anaosha maiti swala ni kwamba anahusudiwa...
Cc komredi Nyani Ngabu unaitwa huku.
Hapa najua najiweka kwenye mazingira hatarishi ila Nyani na wewe bwana! Siku wakisema una kibamia utatupiamo picha ya dushe lako kuwathibitishia kuwa ni waongo?
Lol!!! Fake, Faker, Fakest 😛Fakest of all!
Mkuu umenifurahisha na nimepata maneno mapya ya kutumia, kuchapa fimbo za macho
Msanii yupi wa marekani?kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.
Aaaaahh stargirl tafadhali naomba ukubali offer yangu. Nini mbaya?Sitaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watanzania tunawekeza kwenye matako mkuu.Nimeona asilimia kubwa kwenye hii video tunaonyeshwa matako, sasa huo urembo wake ni wa matako tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona hasira mkuu.L
Labda kwako wewe