Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 524
- 1,288
Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo. Nyonyo zake hakuzinyanyua na sidiria ila zilisimama Dede, alikuwa Ana mapaja manene yaliyobeba Msambwanda uliobinuka kimtindo... Nilishangaa kukutana na Mali kama hiyo kule interior.
Ni mtoto wa kijijini Mbei, kata ya Malimbwi Lushoto, Tanga kwa kina Mshana Jr Anachezea kwenye namba 19 hadi 22 hivi, Anaitwa Salima ni mtoto ambaye niliandaliwa na mshkaji wangu (nae ni wa hukohuko kijijini) kwaajili ya kunipokea na kunifanya nijihisi nipo nyumbani pindi nitakapokuwa maeneo ya Lushoto kwaajili ya kufanya mission fulani hivi ya kusaka tonge.
Mtoto alijitahidi kunichangamkia sio siri kwa hizo siku sita nilizokaa Kijijini hapo, alinitembeza maeneo mbalimbali, Aliniandalia chakula, alinisaidia kufua nguo zangu n.k... Alikuwa anatamba kwa mashoga zake anapokuwa na mimi, Na hata wenzake walishafikiri Mwenzao (Salima) tayari amepata mchumba.
Mpaka Sasa bado siamini kama niliondoka bila kumchakata binti yule wa ki'mbugu. Nikipata wasaa nitarudi tena Tanga, Lushoto.