Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kila jambo lina sababu zake...Ni sawa vip wakati nimezingua boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila jambo lina sababu zake...Ni sawa vip wakati nimezingua boss
Jf bhana inawatu wa ajabuStori yako kama ya yule jamaa aliharibikiwa na gari kijijini..
Akaomba msaada alale kwenye nyumba ya mzee fulani hapo kijijinili kesho gari ikipona aendelee na safari.
Alikaribishwa vzr sana.
Muda wa kulala mama akamwambia jamaa nenda chumbani ukalale na BABY.
jamaa akagoma akijua baby ni mtoto akilala nae usiku atamsumbua na kukojoa kitandani afu aonekane yeye ndo kakojoa.akakomaa akalala kwenye mkeka sebleni.
Asubuhi akaamshwa na dem mzuri balaa amejazia.demu akajitambulisha naiitwa BABY we unaitwa nani?? jamaa akajibu naitwa FALA
Uajabu wake ni Nini hapo?Jf bhana inawatu wa ajabu
Kwetu pazuri mnoHatarii sana Broo Mshana Jr. Kule kwenu kumebarikiwa sana wallah.
Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo. Nyonyo zake hakuzinyanyua na sidiria ila zilisimama Dede, alikuwa Ana mapaja manene yaliyobeba Msambwanda uliobinuka kimtindo... Nilishangaa kukutana na Mali kama hiyo kule interior.
Ni mtoto wa kijijini Mbei, kata ya Malimbwi Lushoto, Tanga kwa kina Mshana Jr Anachezea kwenye namba 19 hadi 22 hivi, Anaitwa Salima ni mtoto ambaye niliandaliwa na mshkaji wangu (nae ni wa hukohuko kijijini) kwaajili ya kunipokea na kunifanya nijihisi nipo nyumbani pindi nitakapokuwa maeneo ya Lushoto kwaajili ya kufanya mission fulani hivi ya kusaka tonge.
Mtoto alijitahidi kunichangamkia sio siri kwa hizo siku sita nilizokaa Kijijini hapo, alinitembeza maeneo mbalimbali, Aliniandalia chakula, alinisaidia kufua nguo zangu n.k... Alikuwa anatamba kwa mashoga zake anapokuwa na mimi, Na hata wenzake walishafikiri Mwenzao (Salima) tayari amepata mchumba.
Mpaka Sasa bado siamini kama niliondoka bila kumchakata binti yule wa ki'mbugu. Nikipata wasaa nitarudi tena Tanga, Lushoto.
Hadithi ako inatufundisha nin?Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo. Nyonyo zake hakuzinyanyua na sidiria ila zilisimama Dede, alikuwa Ana mapaja manene yaliyobeba Msambwanda uliobinuka kimtindo... Nilishangaa kukutana na Mali kama hiyo kule interior.
Ni mtoto wa kijijini Mbei, kata ya Malimbwi Lushoto, Tanga kwa kina Mshana Jr Anachezea kwenye namba 19 hadi 22 hivi, Anaitwa Salima ni mtoto ambaye niliandaliwa na mshkaji wangu (nae ni wa hukohuko kijijini) kwaajili ya kunipokea na kunifanya nijihisi nipo nyumbani pindi nitakapokuwa maeneo ya Lushoto kwaajili ya kufanya mission fulani hivi ya kusaka tonge.
Mtoto alijitahidi kunichangamkia sio siri kwa hizo siku sita nilizokaa Kijijini hapo, alinitembeza maeneo mbalimbali, Aliniandalia chakula, alinisaidia kufua nguo zangu n.k... Alikuwa anatamba kwa mashoga zake anapokuwa na mimi, Na hata wenzake walishafikiri Mwenzao (Salima) tayari amepata mchumba.
Mpaka Sasa bado siamini kama niliondoka bila kumchakata binti yule wa ki'mbugu. Nikipata wasaa nitarudi tena Tanga, Lushoto.
Kwahiyo hapo we hujajifunza kitu!?K
Hadithi ako inatufundisha nin?
🤣🤣🤣Kuna mtoto wa tanga nme mla juzi ana itwa salma alkua ana lalamika kuna buzi lime mshindwa kumbe ni wewe bhna