Lameckjr
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 133
- 247
Kama ilivyokawaida yangu wikiend nikiwa bored ilikuwa ni kawaida kabisa kucheki boda boda au uber afu na drop maeneo ya Bata Batani Ilikuwa the same case kuna demu flani nilikuwa namsuburi mageto, na nilikuwa na hamu naye sana lakini sasa alichelewa sana nikaona isiwe case ngoja niende zangu tips (kwa wanangu wa dsm) wanapafahamu vizuri sana, nikachukua boda boda kutokea kimara then soon tu nikawa nimefika zangu Tips lounge hiii Ilikuwa mara yangu ya kwanza na hii ni kwa sababu mshikaji wangu mmja ofisini kwetu alikuwa anapasifia sana.
Nami nikaona wacha nifike basi, Baada ya kutimba eneo niko Mwenyewe tu(jeshi la mtu mmja) basi nikakuta mziki flani bombaa kabisa nikajisemea ewaaah mambo ndo hayo sasa, nikacheki kwanza pande zote isije kuta kuna mtu tunajuana naye yupo eneo la tukio(hiii huwa ni mbinu ya kivita) nikajiridhisha no body around there tunajuana wote ni strange kwangu.
Basi kama kawa nikaagiza zangu hapo Heineken kama tatu( nilishakalilishwa kuwa Heineken ni watu wa juu si unajua tena sisi wasukuma kwa kukariri) basi nikajipigia weweeeeeh nikapata ka vibe hivi afu mziki kwa Mbali mzee wa kazi nacheza nacheza kimtindo ,
Hapo unazungumzia mida kama ya sa tano usiku hivi, nishabugia nyingi tu yaani kibao, sasa mara nikiwa nimetulia zangu nikaona warembo wawili wamekaa zao upande wa kusini mashariki ,nikawa na mshituko flani katika hao wawili kuna mmja nikamuelewa sana ila akili yangu ikaniambia hawa watakuwa wale wale tu (machangu) wanatafuta madanga (maana nilikuwa nimeshawazoea) na ilikuwa tabia yangu kwenda kujichukuria,
Sasa nikajisemea kwa leo napata pisi kali kweli kweli wacha niongeze nyingine (bia) nigain confidence nikamkabiri Vyema, nikafanya then nikasomea gepu maana mwenzake alitoka akabaki mwenyewe nikajisemea ewaaaah nikajisogeza naongea ngeli tupu (si unajua ukilewa tena) nikamwambia my name is shillah( fake name) naye kumbe alikuwa mtabe kwenye kinge akaniambia my is Angel (fake name)
Basi tukapeana mawasiliano kwa kuwa mda ulikuwa umeenda sana nikasema nimuche then tutayajenga kesho nimpe kiasi gani ili anipe mzigo(ilikuwa kawaida Yangu kabisa)
ITAENDELEA