Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

Shenzy type
Muwe mnaandika pembeni mkikamilisha ndio utuletee huku. I'm bored.
 
Ww nae una swaga za kizaman yan nitoe pesa yangu kupanda ndege ili demu anione ninazo ni ushamba yan hela ya kusuka 60000 wakat huo huo ww unakunywa chai ya rangi na chapat mbili hahaha
 
Huwa wanakupima kwanza wakiona hyu mhuni wanalegeza, ila ukienda kichwa kichwa utalizwa

Alafu ndio tatizo kubwa la wanawake wakiwa wanashida na mwanaume wanapendaga yule boya boya ila sisi wajuaji wanatukwepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana mtoa mada hujala mzigo asio? #wanaume wa daslam.
 
Kicheche wa tips nimle kwa laki mbili haitotokea(wengi ni Malaya wachafu wa uswazi Ila wakifika Kule wanajikuta wakishua)Bora ninywe bia tu niwake nikasiz...!
 
Nyie ni ya aina ya watu mnaotufanya wasukuma tuonekane washamba mjini "unapanda ndege ili upige picha demu akuone ka sio ushubwada ni nn"
 
Back
Top Bottom