Wivu ukizidi sometimes hugeuka hasira na chukiAkule tu kwa muda!.
Kwani wangapi wamekula!
Utakuja shtuka kumekucha
We jifanye umewehuka!
We nyauuu[emoji23] [emoji23]
AsanteeeZurura uzururavyo mm ...
nashukuru huu mtaa umenipa mke mwema Mzigua90Humu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!
Mimi ningemdanda nanihii hadi angeniona keroooo!
Halafu kama ilivyo mtaani kuna wengine ajili ya tabia au muonekano unasema huyu hata kama ndoa ya mkeka natimuu mbio!
Hahahahahaaa ili uniroge?? Mwifwa njoo umuone huyu chiziNgoja niende kigoma