Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Mpk nimekubali kumpandisha kifuani ukuwe mpole tu jamaa anafaidi
Akule tu kwa muda!.
Kwani wangapi wamekula!
Utakuja shtuka kumekucha

We jifanye umewehuka!
We nyauuu[emoji23] [emoji23]
 
Humu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!

Mimi ningemdanda nanihii hadi angeniona keroooo!

Halafu kama ilivyo mtaani kuna wengine ajili ya tabia au muonekano unasema huyu hata kama ndoa ya mkeka natimuu mbio!
nashukuru huu mtaa umenipa mke mwema Mzigua90
 
Back
Top Bottom