Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
HahahahahaHumu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!
Mimi ningemdanda nanihii hadi angeniona keroooo!
Halafu kama ilivyo mtaani kuna wengine ajili ya tabia au muonekano unasema huyu hata kama ndoa ya mkeka natimuu mbio!
Dj ameanza kunitongoza tena km unavyoona kaa chonjoPoa, mbona siruki ruki jamani
Fisi ni fisi tu, siku zote anatamani mkono udondoke ili apate kitoweoDj ameanza kunitongoza tena km unavyoona kaa chonjo
Mtafute joanah hukoHi dear
Na ndo ashaukosaFisi ni fisi tu, siku zote anatamani mkono udondoke ili apate kitoweo
Hahahahaaaa
Jitahidi mkono usidondoke bana
Mtafute joanah huko
huyo mtt wa kike mpeni tu salamu zangu mwambieni kuna mtu huku umempagawisha mpk KADATANdio umejibu comment yangu au..?
Na akome kabisaNa ndo ashaukosa
Tz tunachimba Tanzanite pekee Duniani, lakini nchi iliyopata tuzo kwa uuzaji wa Tanzanite ni nyingineMkuu makoloni nivumbue Mimi wewe ulete ujuaji!
Muibukie tu PM atakupokea na atakutumia hadi link za nyuzi zake huko huko PMhuyo mtt wa kike mpeni tu salamu zangu mwambieni kuna mtu huku umempagawisha mpk KADATA
Tz tunachimba Tanzanite pekee Duniani, lakini nchi iliyopata tuzo kwa uuzaji wa Tanzanite ni nyingine
Kuwa mpole tu, baki njia kuu
Mtaka yote kwa pupa hukosa yoteJohana mwnyw hamtaki nakwambia mtaka mingi misiba
Hiyo ni lazima maana hamna jinsiAtulize mshono
lazima niwe mkuu..Be Like BROTHERMuibukie tu PM atakupokea na atakutumia hadi link za nyuzi zake huko huko PM
Ndio nimenyakua hao sasaKwanini usiwanyakue tu humu hadi unifate kwa warembo wangu
Hapo sawalazima niwe mkuu..Be Like BROTHER