Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Humu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!

Mimi ningemdanda nanihii hadi angeniona keroooo!

Halafu kama ilivyo mtaani kuna wengine ajili ya tabia au muonekano unasema huyu hata kama ndoa ya mkeka natimuu mbio!
Hahahahaha
Labda Yesu nikamdandee
 
Back
Top Bottom