Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Mrembo yupi unaweza oa kwa furaha na yupi hata ndoa ya mkeka utagoma!

Hizi mada nyingine, nchi ya Tanzania ya mtandao isiyo na amani. Itazidi kuingiwa majaribuni kwa kugombana kisa mada
 
Ingelikua unatuunganisha nao hao warembo ningelikuambia nikuwadie mzigua90 yaani mtoto ananitoa madenda utafikili nimewahi kumuona vile,huyu ndio alienishawishi mpaka nikajiunga jf
 
Back
Top Bottom