MRI ocean Road itengenezwe

MRI ocean Road itengenezwe

Tutuba

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
36
Reaction score
48
Wakuu Na mgonjwa Ocean road hapati tiba kwa sababu Machine imeharibika ni week ya pili inakata kipi kinashindwa kutatuliwa ifanye kazi na malipo wanapokea watu wa bima wanapelekwa kupimiwa mhimbili kwanini wa cash nao wasingewafanyia hivo......... sikumpenda Jiwe ila namkumbuka
 
Hizi taasisi za serikali hadi itengenezwe process ni ndefu sana, unaweza ambiwa wameagiza kifaa nje ya nchi
 
Hizi taasisi za serikali hadi itengenezwe process ni ndefu sana, unaweza ambiwa wameagiza kifaa nje ya nchi
Sisi tusio na uwezo tutakufa au cancer itafika grade mbaya wakati tumeshafika hospital imagine process na kuhitaji tu urudishiwe hela itakavokuwa ngumu kwa nini watuandikie MRI wakati wakijua kipimo kibovu na upewe control number ulipie ukifika sehemu ya kupima unaambiwa machine mbovu kwanini jamani na kipimo chenyewe ni gharama tunechangia ukoo mzima ilimradi tu mtu atibiwe muda muafaka ila ndo hivo tena
 
Back
Top Bottom