Mrija mmoja umeziba

Mrija mmoja umeziba

REOLASTON

Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
71
Reaction score
5
Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.

Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya X-RAY na majibu yanaonyesha mrija wangu mmoja umeziba.Naomba msaada wa kuzibua huo mrija ulioziba
 
wewe u jinsia gani?mwanaume au mwanamama?
 
Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.

Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya X-RAY na majibu yanaonyesha mrija wangu mmoja umeziba.Naomba msaada wa kuzibua huo mrija ulioziba

Je, huyo GYNO hakukupatia ushauri wowote wa namna ya kutatua hilo tatizo?
 
Me ni mwanamke. Na huyo GYNO aliniambia kwamba kuna watu wanafanikiwa kupitia huo mrija mmoja na wanapata mimba. Ushauri alionipa ni kwamba nisubiri tu nitapata na 2yrs ni muda mfupi kwa hiyo nitapata tu. Ila me naona muda unazidi kwenda sipati.
 
Huwa tunasikia kuwa kuna njia za kusafisha mirija iliyoziba, am not sure njia hizi ni upasuaji mdogo au dawa za kumeza tu, ladba ungejaribu kwa magyn wengine waliobobea kama prof Massawe.
 
Kinyau huyo Prof Massawe yupo hospital ipi au ninaweza kumpataje?
 
Kinyau huyo Prof Massawe yupo hospital ipi au ninaweza kumpataje?
prof massawe ni bingwa magonjwa ya watoto sio gyno. kuna gyno mzuri wa aga khan, dr shaffiq - mtafute atakusaidia.
 
nakumbuka tatizo kama lako liliwahi kumkuta girlfriend wangu,nikajaribu kumdadisi dk,akaniambia kuwa kwa kawaida hiyo mirija huwa inpokezana katika kulishusha yai katika mji wa mimba....hivyo kama wewe mrija wako mmoja umeziba basi huo mmoja unaweza kukuwezesha kupata mtoto......unapata hedhi kama kawaida?
 
Mirija inazibuliwa kwa hewa, Hata agakhan wanafanya hio. Zamani walikuwa wanafanya kwa operation, lkn huitaji operation.
 
nakumbuka tatizo kama lako liliwahi kumkuta girlfriend wangu,nikajaribu kumdadisi dk,akaniambia kuwa kwa kawaida hiyo mirija huwa inpokezana katika kulishusha yai katika mji wa mimba....hivyo kama wewe mrija wako mmoja umeziba basi huo mmoja unaweza kukuwezesha kupata mtoto......unapata hedhi kama kawaida?

Hedhi napata kama kawaida.
 
Kama Hedhi unapata kama kawaida basi hata kama mrija mmoja umeziba basi huo mwingine utapitisha Yai kwani huwa yanapokezana mwezi huu linatikea upande huu na mwezi mwingine linatokea upande mwingine tena.

Kwa ushauri zaidi nenda Hospi na kaonane na Mabi ngwa wa Magonjwa kama yako. Usichelewe kwani muda unaenda
 
Outlier namzungumzia prof massawe siyo dk massawe wa watoto. Prof massawe ni mke wa dkt massawe naye ni gnyno mzoefu wa miaka mingi, anapatikana pale moroco, furaha clinic close to Hito pharmacy (yuko ofisi moja na mumewe) ila timetable yake siijui.

Ni vema ukapata multiple consultancy kisha ushauriane na mwenzio what is the best method to follow.
 
Nenda mtendeni clinic iko kisutu, pale kuna gyno muhindi yuko safi atakusaidia. nakushauri pia uende na mumeo unawezafikiri una tatizo kumbe mumeo ndo tatizo. mara nyingi checkup kama hizo patiners wote mwende mfanyiwe uchunguzi.

Wish you success!
 
Asante Caroline. Mwenzangu ameshapima yupo safi
 
Mtendeni kuna Gyna anitwa Chetan Ramaiya 0713601321. huyu dr yuko fit kweli lakini anaweza akakuchaji highly if utakwenda na nyodo za kifweza!!! Jitahidi kuwa humble tu na umwoneshe huna hela la sivyo atakuchaji kwa $$$$. kwa kifupi anachaji kulingana na uwezo wa mgonjwa!!! Nampenda kwa vile hana kashfa za kubaka wanawake kama magyna wengineo hapa mjini
 
mchola, Unajua hii ni taaluma ya watu, ni gyno gani umeshamsikia kambaka mke wa mtu? Hii ni kazi yenye maadili yake bwana..... na tusi genorolize kwamba magyno wote wanabaka wanawake isipokuwa huyo shetan. Naomba tuheshimu kazi za watu.
 
Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.

Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya X-RAY na majibu yanaonyesha mrija wangu mmoja umeziba.Naomba msaada wa kuzibua huo mrija ulioziba

pole sana dada Reo, najua kwa sasa uko kwenye wakati mgumu sana na una anxity kubwa ya kuitwa mama. Ni kweli wenzangu wengi wameshakushauri hapa, labda na mimi nichangie kidogo tu! Aga khan wanazibua kama wengine wowote tu, ila wao wana mashine inayoitwa laparascopy ambayo ni aina ya operation ambayo hauta katwa tumboni, uta tobolewa vitundu takribani vitatu ambaryo ndo vitapitisha kamera na vifaa vingine kama mikasi nk, kwa mtazamo wangu operation ya kawida ni bora kuliko laparascopy kwetu huku kwani hatuna wataalam wazuri wa laparascopy surgeries.
Alivyo kushauri gyno wako wa kwanza ni sawa kabisa kwa sababu kwa kawaida ovulation huwa zinatoka kulia na kushoto kwa kupokezana kila mwezi.
hapa sasa inatakiwa pia kalenda yako uipangilie vizuri ili uweze kukutana na mwenzi wako siku ambazo ni fertile na ambazo zina ovulation.
Unaweza kufanya kipimo cha kucheki hormone levels ili kuwa na uhakika wa circle yenye ovulation.
Otherwise nakushauri uende kwenye private clinic za pale mhimbili kuna magyno wengi wazuri ambao watakusaidia.
Kila lakheri mama, Utafanikiwa!! usihofu na toa shaka kabisa
 
Back
Top Bottom