Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.
Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya X-RAY na majibu yanaonyesha mrija wangu mmoja umeziba.Naomba msaada wa kuzibua huo mrija ulioziba