Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.
Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya X-RAY na majibu yanaonyesha mrija wangu mmoja umeziba.Naomba msaada wa kuzibua huo mrija ulioziba
prof massawe ni bingwa magonjwa ya watoto sio gyno. kuna gyno mzuri wa aga khan, dr shaffiq - mtafute atakusaidia.Kinyau huyo Prof Massawe yupo hospital ipi au ninaweza kumpataje?
nakumbuka tatizo kama lako liliwahi kumkuta girlfriend wangu,nikajaribu kumdadisi dk,akaniambia kuwa kwa kawaida hiyo mirija huwa inpokezana katika kulishusha yai katika mji wa mimba....hivyo kama wewe mrija wako mmoja umeziba basi huo mmoja unaweza kukuwezesha kupata mtoto......unapata hedhi kama kawaida?
Nenda mtendeni clinic iko kisutu, pale kuna gyno muhindi yuko safi atakusaidia. nakushauri pia uende na mumeo unawezafikiri una tatizo kumbe mumeo ndo tatizo. mara nyingi checkup kama hizo patiners wote mwende mfanyiwe uchunguzi.
Wish you success!
Mtendeni kuna Gyna anitwa Chetan Ramaiya 0713601321. huyu dr yuko fit kweli lakini anaweza akakuchaji highly if utakwenda na nyodo za kifweza!!! Jitahidi kuwa humble tu na umwoneshe huna hela la sivyo atakuchaji kwa $$$$. kwa kifupi anachaji kulingana na uwezo wa mgonjwa!!! Nampenda kwa vile hana kashfa za kubaka wanawake kama magyna wengineo hapa mjini