Ewaaa.... raha ya tarumbeta ulimi unagusana na chupa....wacha kabisa, soda inakuwa tamu sana!
Hahahahaa.......... siyo mimi peke yangu komredi, huyu, kuna huyu madamme hapa chini naye kaanza kukuelewa pia.Comrade umeanza kuelewa sasa!
babu nahisi meno yashaanza kukuchomoka! ulimi tena na chupa?what abt them lips,lol!
Any of the two!
what do you have to say? I hope you will not stop here, no wonder Yo Yo Said it is totally worthless and idiotic thread........
You say it is idiotic but yet you contribute to that very idiocy! What does that make you?
Because I am a Me, Mi nachomeka.....! hahahaha....! Okay?Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
</p>Hehehe them lips si zinabana kichwa cha chupa, then soda yote inaingia ndani.....soda tamu jamani...
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
None of the above,..namimina na kunywa kwa bilauri tu!
Mmmhhhh....maswali yanazidi kuongezeka. Hivi kwani kikombe na bilauri tofauti yake nini?
Soda ya kopo wanakunywa matoziNa soda ya kopo je?