Mrija na kikombe

Mrija na kikombe

Comrade umeanza kuelewa sasa!
Hahahahaa.......... siyo mimi peke yangu komredi, huyu, kuna huyu madamme hapa chini naye kaanza kukuelewa pia.

babu nahisi meno yashaanza kukuchomoka! ulimi tena na chupa?what abt them lips,lol!

Hehehe them lips si zinabana kichwa cha chupa, then soda yote inaingia ndani.....soda tamu jamani...
 
Any of the two!

what do you have to say? I hope you will not stop here, no wonder Yo Yo Said it is totally worthless and idiotic thread........

You say it is idiotic but yet you contribute to that very idiocy! What does that make you?
 
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Because I am a Me, Mi nachomeka.....! hahahaha....! Okay?
 
ww ulipokuwa unakunywa soda na biskuti za mini marie ulikuwa unatema biskuti humo!afu sasa soda inauwa mmh! kama hukukatazwa sawa banaa!

Hehehe them lips si zinabana kichwa cha chupa, then soda yote inaingia ndani.....soda tamu jamani...
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Na mrija wenyewe basi uwe ule mrija uliopinda,mirija mingine haivuti kimiminika vizuri!
yaani soda unakuwa unaivuta vizuri sana!!!!
 
Mie hahaha nakunywa mle mle kwani ya mrija hainoni,,pia kule kwetu IKUNGULYAMBESI mirija wapi bwana....mule mule tu itajijua yenyewe baadae
 
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?

None of the above,..namimina na kunywa kwa bilauri tu!
 
Uzuri wa Soda tena upate Coca Cola zile large size sio hizi Mountain Dew ambazo ziko kwenye chupa kama za juisi za Sayona
 
Mmmhhhh....maswali yanazidi kuongezeka. Hivi kwani kikombe na bilauri tofauti yake nini?

bilauri
nm chombo kama kikombe,chembamba kirefu na kisicho na mkono; gilasi.

kikombe
nm (vi) chombo cha kauri, chuma, madini nk kitumiwacho kunywea ~ kahawa
 
ha ha ha ukisoma comments kuanzia juu hutoelewa kwa haraka shuka chini sasa!! Aspirin ha ha umetishaaa
 
Back
Top Bottom