Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
Uzuri wa Soda tena upate Coca Cola zile large size sio hizi Mountain Dew ambazo ziko kwenye chupa kama za juisi za Sayona
bilauri
nm chombo kama kikombe,chembamba kirefu na kisicho na mkono; gilasi.
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Braza Mbu, mbona hapa Calabash Dayana kanimiminia Castle kwenye gilasi kubwa nzito nzito yenye mkono. Sasa hii ni bilauri au kikombe?
...Beer Mug ni kikombe, sio bilauri. BTW, ...ushaona beer inanywewa kwa mrija? :biggrin1:
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Hahaha! hili swali sitalisahau kidogo linikoseshe kazi,tulikuwa watano mudhungu akamuuliza kila mtu peke yake unakunywa soda/bia kwenye chupa au unatumia mrija/glasi,wenzangu kujifanya mabishoo wote wakasema glasi/mrija mi peke yangu nikajibu chupa na kufaulu na alitoa sababu nyingi nitaziweka hapa baadae.Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.
Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Kwa mrija nisichakachue lipgloss yangu...
Kumbe unapenda kufyonza kwa mrija. Haya....
Kufyonza na kunywa sio sawa...sasa mi nakunywa!!
Hivyo eeh?
Enheeee...we ulizani?!
Alafuuuu nini kilikutuma kuanzisha uzi usio na kichwa wala miguu..maana mi mpaka nasoma post ya mwisho sijajifunza kitu na nlidhani JF ni sehemu ya kujifunza!!
Ya kujifunzia nini?
Mambo ya maana...mambo yenye mshiko!
Kama yepi?
Tofauti na yaliyomo hapa....
Au we kuna kitu ulitaka tujifunze sijakigundua?!
Ujifunze kwani shuleni hapa...ebo!!