Mrija na kikombe

Mrija na kikombe

Uzuri wa Soda tena upate Coca Cola zile large size sio hizi Mountain Dew ambazo ziko kwenye chupa kama za juisi za Sayona

Sasa Coca Cola ipi? Manake siku hizi Coke wana fleva mbalimbali. Kuna Vanilla coke, Cherry coke, Classic coke na kadhalika. Na ni regular coke au diet coke?
 
bilauri
nm chombo kama kikombe,chembamba kirefu na kisicho na mkono; gilasi.

Braza Mbu, mbona hapa Calabash Dayana kanimiminia Castle kwenye gilasi kubwa nzito nzito yenye mkono. Sasa hii ni bilauri au kikombe?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Braza Mbu, mbona hapa Calabash Dayana kanimiminia Castle kwenye gilasi kubwa nzito nzito yenye mkono. Sasa hii ni bilauri au kikombe?

images

...Beer Mug ni kikombe, sio bilauri. BTW, ...ushaona beer inanywewa kwa mrija? :biggrin1:​
 
images

...Beer Mug ni kikombe, sio bilauri. BTW, ...ushaona beer inanywewa kwa mrija? :biggrin1:​

Kwa hiyo hiko ni kikombe cha gilasi? Teh teh teh

Na dunia pana hii ndugu yangu. Kama kuku anaweza kuliwa kwa mrija, bata kwa toothpick, na soda kwa uma sitashangaa bia kunywewa kwa mrija manake mwisho wa siku ukiangalia vyote hivyo uelekeo wake ni mmoja tu nako ni tumboni!! Au nimekosea?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?

binafsi napenda kunywa kwa chupa; kama mrija ingekuwa ni lazima watengeneza soda wangekuwa wanawake na mirija pembeni.
 
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Hahaha! hili swali sitalisahau kidogo linikoseshe kazi,tulikuwa watano mudhungu akamuuliza kila mtu peke yake unakunywa soda/bia kwenye chupa au unatumia mrija/glasi,wenzangu kujifanya mabishoo wote wakasema glasi/mrija mi peke yangu nikajibu chupa na kufaulu na alitoa sababu nyingi nitaziweka hapa baadae.
 
Mh!Sasa....Aaaah nimesahau sijui nilitaka kusema nini!
 
Hivyo eeh?

Enheeee...we ulizani?!

Alafuuuu nini kilikutuma kuanzisha uzi usio na kichwa wala miguu..maana mi mpaka nasoma post ya mwisho sijajifunza kitu na nlidhani JF ni sehemu ya kujifunza!!
 
Enheeee...we ulizani?!

Alafuuuu nini kilikutuma kuanzisha uzi usio na kichwa wala miguu..maana mi mpaka nasoma post ya mwisho sijajifunza kitu na nlidhani JF ni sehemu ya kujifunza!!

Ya kujifunzia nini?
 
Back
Top Bottom