Mringanisho wa Mafia Island Vs Maldive Island

Maldives ni nchi mkuu na Mafia ni Sehemu ndani ya Tanzania ,.Ulinganisho .sio sahihi , Ili kuinua kisiwa Cha Mafia kunahitajika uwekezaji mkubwa sana kitu ambacho kwa uchumi wetu ni bado sana, Labda tuwauzie wawekezaji
 
uchumi wa mafia n kiasi gan mbona kama ujaelewa ulinganifu!!

kuwepo kwa ardhi nayo ni factor hivo vivutio utaviweka hewani…
More land you can do more
Ingekua more land ndio utalii basi Urusi na China wangeongoza kwa Africa Sudan ingekua noma ila mambo hayaendi hivyo.

Unahitaji investments za maana kwenye miundombinu, hapo Thanda kuna Helicopter ya kufuata Wateja walipo, kuna Huduma zote, sidhani kama Mafia hata kama kuna Airport ama Airport ya maana.

Unahitaji beach safi kama za Maldives, na sio zetu hizi ambazo kila takataka inatupwa Baharini

Unahitaji vivutio vya asili na vya kutengeneza etc.
 
Uko sahihi lakini Swali langu kama huna ardhi utawekeza wap??

Angalia nchi kama Tuvalu n ndogo kila sehemu imejaa maji wale hata wawekeze vip hawawezi izidi dubai, au singapore au maldives maana wana kipande kigodo ambacho nacho kinazama
 
Maldives ni nchi mkuu na Mafia ni Sehemu ndani ya Tanzania ,.Ulinganisho .sio sahihi , Ili kuinua kisiwa Cha Mafia kunahitajika uwekezaji mkubwa sana kitu ambacho kwa uchumi wetu ni bado sana, Labda tuwauzie wawekezaji

ukubwa kama upi ambao sisi utatushinda?
 
Back
Top Bottom