Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,970
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).


Gambo.jpg
Gamboo.jpg

FAB2C194-7839-46C1-BD42-60DF37793530.jpeg
 
Nnachoamini hajafanya hili bila baraka za mwenyekiti, Arusha mjiandae kisaikolojia kumpokea Gambo
 
Kitendo cha kutenguliwa tu, kiitosha kabisa kumwondolea heshima zake zote alizokuwa amejijengea huko Arusha na si Arusha tu Bali mahali kokote Tanzania

Cha kumshauri, Gambo Bado Ni kijana na mchapakazi haswaa, Ni Kati ya vijana wazuri na wenye sifa ya kiutendaji ktk Taifa hili, Wakati huu angekaa Tu kimyaa na kuendelea na shughuri nyingine akisubiri uteuzi ili 2025 ndio afanye anavyotaka kufanya leo

Vinginevyo anapoteza pesa zake bule
 
Naona Gambo anajichekesha hapo afu jamaa anayetoa form aeweka wambuzi tu.

Hio picha ya kwanza kweli Gambo aliyekua anafuatwa na misululu ya watu wa media/ma camera leo ni wakupigwa picha na kasimu ka techno(kama kanavyoonekana hapo pichani).
 
Anapoteza mda wake,hata ccm akipita kwa lema havuki,sema akili hana angekuwa na akili hata asingehangaika maana akiukosa huo ubunge ni aibu mno
Wanaofanikiwa sikuzote ni wale wanaotake risk
 
Back
Top Bottom