AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Na watanzania walivyo wanafki... Wanashangilia tu na kumpongeza rais kwa kumtumbua...
Tuseme ukweli tu jamaa alikuwa bonge la mchapakazi na mbunifu.. .
Katika mazingira yoyote huwezi shirikiana na jitu linalokudharau kwa kibri tu. .. Bila kujali nafasi uliyo nayo wala haiheshimu...
Mtu kama mkurugenzi wa jiji anahitaji kufanya kazi hand to hand namkuu wa mkoa ili maendeleo yafike.. .
Lakini wao kumtambia kuwa wao nao wateule wa rais na kutomheshimu mkubwa wao waliopangwa nae. ..
TUACHE UNAFKI WABONGO.. .
Hata kama ingekuwa wewe USINGEWEZA KUFANYA KAZI NA JITU LINALOJIMWAMBAFY ASIYEKUHESHIMU CHEO CHAKO WALA UTU WAKO...
USHIRIKIANO UPI ANAOKUSUDIA RAIS ZAIDI YA WALE WADOGO KUMHESHIMU MKUBWA WAO NA KUSEMA NAE KWA HESHIMA HATA KATIKA KUMSHAURI ANAPOKOSEA.. .
NAONA WENGI HAWAWAONI WALE WENGINE KWA KUWA MNAWAOGOPA KWA KUWA NI USALAMA WA TAIFA...