Mrisho Gambo ameonewa kwa makosa ya wengine

Mrisho Gambo ameonewa kwa makosa ya wengine

Nami naungana na mtoa Post, Gambo ameonewa lkn ipo siku atainuliwa tena! The God in Day is still God in the Night!
 
… kudhalilisha watu hadharan ni kosa awamu hii?…

Kuingia na ule mkofia kweli alikosea na pengine imechochea Rais kupewa mengi negative ya Gambo

Kwann haikufanywa rotation kwa muda wote kama wote walikuwa hawapaptan?
Rotation ni ngumu awamu hii, Bwana Mkubwa hufanya jambo kadri ya maamuzi yake na sio misukumo kutoka kwenye maoni ya watu.
 
Issue ya Gambo kaa tu kimya , kama alishindwa kujirekebisha alivyotolewa Ukuu wa Wilaya , hiyo itakua ni tabia yake ....ya Jeuri ,Dharau na Majivuno ....ni ngumu sana kuwa kiongozi na aache hiyo tabia ...
Faili la Gambo lina mambo mazito ...na karibuni alimuiga Makonda tabia ya kuvuta pesa ...
 
lingekuwa jambo la busara kama muheshimiwa ange mpeleka makonda Arusha.....
 
Fuatilia alikowahi kufanya kazi huyo mtu wako kama aliwahi kutoka salama, au umetumwa kupima maji? Gambo muigizaji tu na hana analofanya zaidi ya Kick
Lakini naona kama vile alikuja kubadilika kuwa mnyenyekevu
 
Bora alivyotumbuliwa aondoke tu alikua anapenda sifa sana kama yesu
 
Back
Top Bottom