mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Rotation ni ngumu awamu hii, Bwana Mkubwa hufanya jambo kadri ya maamuzi yake na sio misukumo kutoka kwenye maoni ya watu.… kudhalilisha watu hadharan ni kosa awamu hii?…
Kuingia na ule mkofia kweli alikosea na pengine imechochea Rais kupewa mengi negative ya Gambo
Kwann haikufanywa rotation kwa muda wote kama wote walikuwa hawapaptan?
Gambo kabila yako?Kuna muigizaji na mzee wa kiki kama Bashite?
Gambo kilichomponza ni kutokuwa msukuma.
Kama unampenda kiasi hicho peleka posaNa watanzania walivyo wanafki... Wanashangilia tu na kumpongeza rais kwa kumtumbua...
Tuseme ukweli tu jamaa alikuwa bonge la mchapakazi na mbunifu.. .
Lakini naona kama vile alikuja kubadilika kuwa mnyenyekevuFuatilia alikowahi kufanya kazi huyo mtu wako kama aliwahi kutoka salama, au umetumwa kupima maji? Gambo muigizaji tu na hana analofanya zaidi ya Kick
Hapana ila ni mkaskazini.Gambo kabila yako?