PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Viongozi wetu wanataka tuwaze hivi, wanataka tuone hatuwezi.....wanataka tujione wanyonge.

Wanataka tukilala njaa tujione ni uzalendo ilihal tunamiliki mapori yalioozeshwa na mvua kedekede.

We are doing nothing
 
Kuleni chuma hichoo,JPM alichukua hatua ya kutaka kutuvadili mindset kuwa wea rea not cheap, kwamba hata vikubwa tunavyoviiona nje tunaweza na sisi mkaishia mtukana.

Haya jipongezeni kwa unyonge Arusha yenye Tanzanite daraja la mabua ya mahindi linapigwa picha na Mwakailishi wao kama hatua ya mafanikio
 
Nimeangalia hiyo picha vizuri sana, kinachoshangaza ni Gambo peke yake ndo anaetabasamu ni kama anawacheka hao raia ambao nyuso zao zinaonesha masikitiko na masononeko, zaidi ya yote wanaonesha kushangazwa na wanachokiona hapo mbele yao, huenda wanaona kitu kingine zaidi ya kivuko. Mungu awape moyo wa subra πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…