PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya masikio ya CCM
Huyo Lissu watamchagua kua mnyapara gerezani? maana CHADEMA hawakusaini kanuni za Uchaguzi hivyo kujitoa automatically.
 
Nimeangalia hiyo picha vizuri sana, kinachoshangaza ni Gambo peke yake ndo anaetabasamu ni kama anawacheka hao raia ambao nyuso zao zinaonesha masikitiko na masononeko, zaidi ya yote wanaonesha kushangazwa na wanachokiona hapo mbele yao, huenda wanaona kitu kingine zaidi ya kivuko. Mungu awape moyo wa subra 😅😅😅😅
Acha wivu
 
Dhambi hupofusha macho, wao hapo wanaona ni bonge la daraja kwa sababu ya dhuluma wanayowafanyia watanzania

Kwa akili ya kawaida, hapo huwezi piga picha yoyote kama kiongozi na kuisambaza ukijivunia eti umewajibika kwa wananchi kama siyo kupofuka macho ni nini?
Acha wivu
 
Back
Top Bottom