PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya maigizo ya CCM
Mimi siyo mwanaChadema, ila ukweli siwezi mpigia Samia kura. Labda CCM waweke mgombea mwingine.
Tatizo chadema hawashiriki uchaguzi ndo tatizo kubwa.
 
Hivi Jamiiforums hamuwezi mkatupa uwezo wa ku-react mara mbili kwenye post moja?maana hii habari inasikitisha na kufurahisha kwa wakati mmoja.

Kama hapa,nimetamani niweke “kicheko🤣” na “masikitiko😕” pale main post lakini nimeshindwa,moderators kama inawezekana mtuwekee hiko kitufe.
 
Sasa mkuu, hilo daraja si nalijenga peke yangu pasipo usaidizi? 😁
😂😂😂😂🙌🙌🙌 Ndo hvo mi nimesema sana nimeqmbiwa nina wivu..

Ndo maana namimi nawarushia na nyie mpira 😂😂😂😂 muache wivu
 
Siku nyingine waombe JF tuchangie ili wajenge daraja la maana
Sasa hicho ni kivuko cha kuku ama?
 
Nimjulie wapi ndugu yangu😁
Sasa hapo rajabu hayupo..
Angalizo a hiyo picha alafu mwangalie huyo mama aliyevaa dera la njano.

Ndo mama rajabu.. rajabu mwenyewe anasema hajafurahishwa na hiyo picha
 
Back
Top Bottom