PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii inaonyesha kiasi gani wananchi tunadharaulika, hawa jamaa awanatuchukulia kama manyani. Hata mimi ningekuwa Gambo na nina utu na ubinadamu ningejishtukia aisee. Huyu jamaa hana aibu kabisa.
Amerogwa Gambo, unakubali vipi kuhusishwa na kitu kama hicho kama sio kujichoresha
 
Kuleni chuma hichoo,JPM alichukua hatua ya kutaka kutuvadili mindset kuwa wea rea not cheap, kwamba hata vikubwa tunavyoviiona nje tunaweza na sisi mkaishia mtukana.

Haya jipongezeni kwa unyonge Arusha yenye Tanzanite daraja la mabua ya mahindi linapigwa picha na Mwakailishi wao kama hatua ya mafanikio
CCM ni ileile hakuna nan wala nan wote wapo kweny mfumo uleule mzee!! JPM alikua na engo yake kiutawala na upigaji. Mwanzon niliamin JPM anaweza akaleta mageuzi kiutawala, rushwa na ufisadi Kilichonifanya nimuone ni walewale ni pale alipowaongezea kinga ya kutoshtakiwa viongoz ikiwemo jaji mkuu, supika wa munge!!
 
Na walikuwepo wanafiki hapo na mitumbo yao wanampongeza kwa kazi kubwa aliyofanya 😁
 
Back
Top Bottom