PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa hapo rajabu hayupo..
Angalizo a hiyo picha alafu mwangalie huyo mama aliyevaa dera la njano.

Ndo mama rajabu.. rajabu mwenyewe anasema hajafurahishwa na hiyo picha
Pichani naona nyuso zao hazina furaha isipokuwa moja tu, inawezekana Rajabu ndiye aliyekijenga hicho kidaraja?
 
Dhambi hupofusha macho, wao hapo wanaona ni bonge la daraja kwa sababu ya dhuluma wanayowafanyia watanzania

Kwa akili ya kawaida, hapo huwezi piga picha yoyote kama kiongozi na kuisambaza ukijivunia eti umewajibika kwa wananchi kama siyo kupofuka macho ni nini?
OGOPA SANA KITU KINACHOITWA KARMA.
 
Tz n rahisi sana kuwa kiongozi, hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi.
 
Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya maigizo ya CCM
Kiukweli kura zikiesabiwa kwa uhuru na haki huyu Mama hatoboi watu hawampendi na yeye sijui ana lijua ili.
 
Pichani naona nyuso zao hazina furaha isipokuwa moja tu, inawezekana Rajabu ndiye aliyekijenga hicho kidaraja?
Rajabu anapitia misuko suko sana tangu mjomba ake faru rajabu kuaga dunia daaah
 
huu uzi umepigwa PESTICIDES kali sana,...maana hata chawa mmoja hajaugusa,....🤔🤔
 
Back
Top Bottom