Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Acha wivuHicho kidaraja Mwenyekiti wa mtaa anakusanya tu vijana wawili wanamaliza kazi chap, tena material yenyewe inaonekana ni mabaki.
Acha wivuHicho kidaraja Mwenyekiti wa mtaa anakusanya tu vijana wawili wanamaliza kazi chap, tena material yenyewe inaonekana ni mabaki.
Acha wivuNa hilo zege inaonekana limekaa muda mrefu mpaka kuna upande limemeguka, upande wa pili hauna zege 😆😆, huu mwaka ni hatari aisee
WivuHuyu amekuaje Mbunge?Hii ni dharau na kashfa kubwa sana.Ndio maana hata kwenye picha anayetabasamu ni yeye pekee.
Ukiwa Narcissist unaona kila unalofanya ni sawa.Huu ndio ushahidi dhahiri wa kwanini Makonda anampiga spana.
Arusha deserves better.
Hiyo ni kazi ya Fedha za Jimbo ,naweza.kukuonesha Wabunge wengi walifanya hayo huko Majimboni kwenu.Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Nimekumkumbuka faru rajabuMto Rajabu
Kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongoza naye na wewe ukiwa siyo mpumbavu basi ili ukubalike naye basi jifanye mpumbavu.Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Huyu huku Sakina hatumpi kura hata moja.Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Ni ndgu maana mama rajabu yupo hapo kwa picha ndio huyo hyo alionekana kipindi kule faru rajabu anaumwaNimekumkumbuka faru rajabu
Acheni wivuDaah hii nchi inavituko.Aisee!
Ukiachana na jina la mto limeniacha hoi😆😆 yaani haoni aibu
Ndiyo. Ila ni mbishi mno.Kwa hiyo unashauri atunze pensheni?!
Braza ako Gambo, janja janja nyingiAcha wivu