Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Gambo hana chembe ya sifa ya kugombea jimbo gumu kama Arusha, CCM pale walifeli.Nimehudhuria mkutano wa Lema leo,amekuchafua sana,amemwambia DJ aweke sauti ya Magu akikufukuza kazi,baadae tukamsikia Bashiru wote wamekuuleza wewe kama mtu mchonganishi na hufai kuwa kiongozi.Lema akauliza umati ule ,kama Gambo yuko hivi atawezaje kuongoza jimbo la Arusha mjini ilihali viongozi wake wamemuelezea sifa zake?Ninaona Lema kawekewa mpinzani ambaye hauziki
Hata mm binafsi imenivutia. Lema anatumia Sauti za waliomtuma kugombea kumponda Gambo. Kumbe waliomtuma walimchafua kwanza. Inasikitisha!!Hiyo mbinu ya lema ya kumpiga Pini gambo nimeikubali sana
Gambo Akatafute kazi zingineNimehudhuria mkutano wa Lema leo, amekuchafua sana, amemwambia DJ aweke sauti ya Magufuli akikufukuza kazi, baadae tukamsikia Bashiru wote wamekuuleza wewe kama mtu mchonganishi na hufai kuwa kiongozi. Lema akauliza umati ule, kama Gambo yuko hivi atawezaje kuongoza jimbo la Arusha mjini ilihali viongozi wake wamemuelezea sifa zake? Ninaona Lema kawekewa mpinzani ambaye hauziki.
Jimbo la Arusha limechangamka Sana Kama limetiwa ndimu...kwahyo na mgombea anatakiwa awe hivyo hivyo.mtoto wa mjini. ..kichaa Fulani...sasa unatuletea Gambo 'msabato' huyo wapi na wapi..hili Jimbo linataja mtu mwenye fitna. Na Lema ndo ana sifa hizi ..Gambo fungua kampuni yaulinzi unafit huko...🤸🦸Gambo hana chembe ya sifa ya kugombea jimbo gumu kama Arusha, CCM pale walifeli.
Uoga sio kitu kizuri, kauli zao walizitoa wenyewe leo wanasema zinawaudhi, sasa walitaka wafurahishwe au?Mkuu Swali Langu Ni Hili;
Kwa kuwa Tume Ya Uchaguzi Imetoa Mwongozo Kuhusu Kampeni Zenye Lugha za kuudhi na Matusi pamoja na uchochezi;Je Hauoni Kama AUDIO hizo,zinaweza kumharibia mh.Lema Kupelekea kupata adhabu iliyotajwa na Dr.Mahela?!!!
Jana nimesikia maeneo ya Kawe Chadema wanatumia kauli ya Gwajima kwenye gari yao matangazo alivyodai Uaskofu ni kazi kubwa zaidi ya Uwaziri na Urais.
Haya mambo yapo ni ya kweli, huyo Mwenyekiti wa Tume aache kuwatisha watu.
CCM hawajafeli wao hawategemei kura zenu wao wanategemea tume ya uchaguzi itakapomtangaza saa tisa za usiku kuwa Gambo mshindi na nyie mtabakia kuokota porini masanduku ya kura.Gambo hana chembe ya sifa ya kugombea jimbo gumu kama Arusha, CCM pale walifeli.
Aliyetoa hizo ndio wa kulaumiwa sio lemaMkuu Swali Langu Ni Hili;
Kwa kuwa Tume Ya Uchaguzi Imetoa Mwongozo Kuhusu Kampeni Zenye Lugha za kuudhi na Matusi pamoja na uchochezi;Je Hauoni Kama AUDIO hizo,zinaweza kumharibia mh.Lema Kupelekea kupata adhabu iliyotajwa na Dr.Mahela?!!!
Kuna majimbo ya makondoo ila sio arusha,mbeya mjini na iringa mjini ,ukitamka vinginevyo watu wanaingia barabaraniCCM hawajafeli wao hawategemei kura zenu wao wanategemea tume ya uchaguzi itakapomtangaza saa tisa za usiku kuwa Gambo mshindi na nyie mtabakia kuokota porini masanduku ya kura.