Hv karibuni nahisi tangazo la tume litakuwa "ni kosa la jinai vyama vya siasa kutumia sauti zilizorekodiwa katika kampeni" Watasahau kuwa hata zile nyimbo ni sauti zilizorekodiwa
CCM hawajafeli wao hawategemei kura zenu wao wanategemea tume ya uchaguzi itakapomtangaza saa tisa za usiku kuwa Gambo mshindi na nyie mtabakia kuokota porini masanduku ya kura.
Gambo anahudhuria misiba yote jiji la arusha,mbesiii,birthdei za watoto etc...bado kushinda mochuari kuwapa pole wafiwa[emoji16][emoji16]anafikiria ujinga aliowafanyia DC na DAS nani atamtaka arusha