Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo.
Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda
Baada hayo yote amejitokeza na kutolea ufafanuzi. Tulikubaliana, hizo hela niliyetafuta ni mimi ningekuwa na shida nazo ningezimaliza juu kwa juu na zisingewafikia